Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mapigano mapya yashuhudiwa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC huku mjadala mkali ukitoka juu ya hatima ya Majeshi ya NATO nchini Afghanistan

Sauti 19:53
Mbabe wa Vita anayesakamwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ICC Jenerali Bosco Ntaganda
Mbabe wa Vita anayesakamwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ICC Jenerali Bosco Ntaganda Reuters

Makala ya Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii itagusia masuala kadhaa ikiwa ni pamoja na kuzuka kwa mapigano mapya huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, Mkakati wa kujadili utengenezaji wa nyuklia unaofanywa na serikali ya Iran, Mkutano wa kujadili mustakabali wa baadaye wa majeshi ya NATO nchini Afghanistan na Mgogoro wa kiuchumi Barani Ulaya unaoendelea kugonga vichwa vya Viongozi wa Umoja wa Ulaya EU.