Jua Haki Zako

Serikali ya Ujerumani yalaumiwa kwa kuwahasi wanaokutwa na hatia ya kubaka katika nchi hiyo

Sauti 09:32

Watetea haki za binadamu duniani wanailaumu Ujerumani kwa kuhasi washutumiwa wa ubakaji, mwandishi wetu kutoka Brussels, Ubeligiji, Abu Bakari Suleiman alihoji baadhi ya wakazi wa Umoja wa Ulaya kuhusu adhabu ya kuhasi wale wenye makosa ya ubakaji.