Tanzania ikieleka kwenye mchakato wa sensa ya watu na makazi na hii ikiwa ni mara ya tano kwa mchakato huo kufanyika

Sauti 08:53
Mtayarishaji na Mtangazaji wa makala ya Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho.
Mtayarishaji na Mtangazaji wa makala ya Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho. © RFI Kiswahili.

Tanzania ipo katika mchakato wa kufanya Sensa ya Watu na Makazi .Hii ikiwa Sensa ya tano (5) tangu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lengo likiwa lengo la kupata idadi ya watu wote katika nchi, kwa umri na jinsia, mahali wanapoishi, hali yao ya elimu, hali ya ajira, hali ya vizazi na vifo na hali ya makazi. Makala ya Mazingira leo Dunia yako Kesho juma hili inagazia juu ya mchakato wa Sensa ya Watu na Makazii nchini Tanzania