Chanzo na Tiba ya harufu mbaya kinywani

Sauti 09:08
Mfumo wa upumuaji ambao umekuwa chanzo cha harufu mbaya ya kinywa
Mfumo wa upumuaji ambao umekuwa chanzo cha harufu mbaya ya kinywa

Suala la Usafi wa mwili limekuwa ukisisitizwa sana kwa binadamu,na hii ni kutokana na ukweli kuwa usafi ni afya.Tumekuwa tukishudia Watu wengi wakihusumbuliwa na tatizo la kutoa harufu mbaya kinywani na hivyo kuwa kero kwa wengine makala yetu ya Siha Njema tutaangazia juu ya chanzo na tiba ya harufu mbaya kinywani