Habari RFI-Ki

Hofu ya usalama katika eneo la Afrika Mashariki na Kati baada ya kutokea shambulizi katikati ya Jiji la Nairobi

Sauti 09:54
Moto ambao ulizuka katika Jiji la Nairobi nchini Kenya baada ya mlipuko mkubwa unaodhaniwa wa kigaidi kutekelezwa kwenye mtaa wenye maduka
Moto ambao ulizuka katika Jiji la Nairobi nchini Kenya baada ya mlipuko mkubwa unaodhaniwa wa kigaidi kutekelezwa kwenye mtaa wenye maduka

Makala ya Habari Rafiki leo inaangazia mlipuko uliotokea katikati ya Jiji la Nairobi nchini Kenya siku ya Jumatatu na kusababisha watu zaidi ya ishirini kujeruhiwa. Kundi la Wanamgambo wa Al Shabab ndiyo ambao wanatajwa kutekeleza shambulizi hilo. Swali kubwa ni kama Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati yanachukua juhudi zipasavyo kupambana na kitisho cha usalama.