Afrika Ya Mashariki
Ufalme wa Buganda ndani ya Uganda ukiwa na Utawala kamili
Imechapishwa:
Cheza - 09:18
Ufalme wa Buganda nchini Uganda. Uganda ni miongoni mwa nchi chache zinazoongozwa na rais wakati huo huo zina wafalme wenye mamlaka kamili kwenye ufalme wao. Ufalme wa Buganda una serikali kuanzia Waziri Mkuu, Bunge, Mawaziri na Maafisa wengine wa serikali.