Mjadala wa Wiki

Maandamano yatokea Visiwani Zanzibar yakishinikiza kujitoe kwenye Muungano wa Tanzania

Sauti 13:43
Waandamanaji Visiwani Zanzibar wakiwa na mabango yanayoshinikiza kujitenga kutoka kwenye Muungano wa Tanzania
Waandamanaji Visiwani Zanzibar wakiwa na mabango yanayoshinikiza kujitenga kutoka kwenye Muungano wa Tanzania

Mjadala wa wiki leo hii unaangazia machafuko yaliyotokea Visiwani Zanzibar kwa kuchomwa kwa makanisa na maandamano yaliyoongozwa na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Znzibar JUMIKI inayoshinikiza Zanzibar katika Muungano wa Tanzania.Katika kujadili suala hili.Victor Abuso anazungumza na Dokta Sengodo Mvungi Mkuu wa Chuo cha Bagamoyo na pia mjumbe katika kamati ya kutafuta maioni kuhusu katiba mpya na kutoka Zanzibar kuna Awadh Saidi Rais wa Mawakili Visiwani Zanzibar.