Gurudumu la Uchumi

Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AFDB ukiangazia sekta za uchumi, usalama, siasa na demokrasia Barani Afrika

Sauti 09:57
Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AFDB unaofanyika Arusha, Tanzania kuanzia tarehe 28 May - 1 June, 2012
Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AFDB unaofanyika Arusha, Tanzania kuanzia tarehe 28 May - 1 June, 2012

Makala ya gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia mkutano wa viongozi wa nchi nane tajiri kiviwanda uliofanyika mjini Washinton Marekani chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama pamoja na maazimio waliyoafikiana kuhusu kunusuru mataifa ya pembe za Afrika na uhaba wa chakula sambamba na ukuaji wa uchumi.Mbali na mkutano huo, makala ya hii leo imegusia mkutano unaoendelea kufanyika mkoani Arusha nchini Tanzania, mkutano ulioandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika kwa kuwakutanisha wadau mbalimbali wa sekta za uchumi, usalama, siasa na demokrasia kutazama namna ya kulikomboa kiuchumi Bara la Afrika.