Habari RFI-Ki
Tatizo la ulipaji ushuru ambalo linawakabili wafanyabiashara wadogo wadogo kwenye masoko
Imechapishwa:
Cheza - 10:12
Mojawapo ya kero kubwa zinazowasibu wafanyabiashara wengi wadogo wadogo katika nchi za Afrika Mashariki na Kati ni suala zima la ukusanyaji wa ushuru sokoni ambapo kila mfanyabiashara katika soko ulazimika kutoa kiasi fulani cha pesa. Makala ya Habari Rafiki yanaongea na baadhi ya wafanya biashara katika soko la Tazara na wenyewe wanato dukuduku lao