Wimbi la Siasa

Wananchi wa Misri wanajiandaa kwa ajili ya Duru la Pili la Uchaguzi wa Urais

Sauti 10:03
Wananchi wa Misri wakiwa kwenye Viunga vya Tahrir siku moja baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa duru la kwanza la urais
Wananchi wa Misri wakiwa kwenye Viunga vya Tahrir siku moja baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa duru la kwanza la urais REUTERS/Suhaib Salem

Misri ni miongoni mwa nchi zilizopitia katika vuguvugu la kisiasa na mabadiliko kuelekea katika utawala wa kidemokrasia. Hivi karibuni nchi hiyo ilifanya uchaguzi baada ya kung'olewa kwa utawala wa Hosni Mubarak. Leo hii makala ya Wimbi la Siasa itaangazia hali ya mambo nchini humo kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa duru la pili.