Muziki Ijumaa

Chris Dizzo Msanii anayeshughulika na kazi zake za kimuziki nchini Afrika Kusini azungumzia kuhusu mipango yake

Sauti 11:15
Msanii maarufu nchini Burundi Chris Dizzo ambaye kwa sasa anafanya shughuli zake Afrika Kusini
Msanii maarufu nchini Burundi Chris Dizzo ambaye kwa sasa anafanya shughuli zake Afrika Kusini RFI/ BILALI

Makala ya Muziki Ijumaa, RFI Kiswahili, imempokea msanii wa Burundi Chris Dizzo anaefanya kazi yake ya Muziki nchini Afrika Kusini. Chris Dizzo amekuwa katika harakati za kutangaza Album yake ya pili, na anazungumzia kuhusu harakati hizo na mipango yake ya baadae.