Wananchi wa Kenya waadhimisha miaka 49 ya Madaraka tangu wapate uhuru kutoka kwa Wakoloni Uingereza
Imechapishwa: Imehaririwa:
Hii leo wananchi wa Kenya wameadhimisha myaka 49 ya Madaraka Day. Tangu mwaka 1963 Kenya lilikuwa ni taifa lililoanza kujitawala toka Uongozi wa Mkoloni Mwingereza.Tarehe 12 mwezi wa desemba mwaka huo,kufwatia harakati za Kuomba uhuru kupitia mwasisi wa Uhuru Jomo Kenyatta.Kiongozi wa sasa aliyeko madarakani amechukua fursa hiyo kuwahimiza wananchi kujiandaa ipaswavyo kwenye uchaguzi unaopangwa kufanyika mwaka ujao.Nchi hiyo inakabiliwa na changamoto za kiusalama,kufwatia mashambulizi zinazofanywa na Wapiganaji wa Al -Shabaab.Siku kuu hii inaadhimishwawakati bado wananchi huko Kenya wakiwa katika hali hiyo ya ukosefu wa usalama,wametakiwa kujiandaa vilivyo kwenye Uchaguzi mkuu utakaofanyika Mwezi Marchi mwakani.