Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Jeshi la Polisi nchini Tanzania lamkamata mwanachama wa Kundi la Al Qaeda wakati Kenya ikiendelea na majozi kufuatia vifo vya Mawaziri wake wawili

Sauti 20:44
Emrah Erdogan
Emrah Erdogan

Jeshi la polisi nchini Tanzania limefaanikiwa kumkamata Emrah Erdogan raia wa Ujerumani mwenye asili ya Uturuki ambaye anatajwa kuwa mwanachama wa Al Qaeda, Wananchi wa Kenya wanaendelea na maombolezo ya Waziri wa Usalama wa Ndani Profesa George Saitoti na Naibu wake Joshua Orwa Ojode, Mashambulizi makali yameibuka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kati ya Jeshi la serikali na Waasi wa M23, Hali ya kisiasa ingali tete nchini Mali huku Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UN likiombwa kusaidia na Serikali ya Syria yaendelewa kumaulimiwa kutekeleza mauaji dhidi ya wapinzani.