Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mahakama za Gacaca nchini Rwanda zafungwa rasmi wakati Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa ikihofia kutokea kwa mauaji na ubakaji nchini DRC

Sauti 20:19
Mabaki ya maiti za watu wa Rwanda ambao walipoteza maisha kwenye mauaji ya kimbari ya mwaka 1994
Mabaki ya maiti za watu wa Rwanda ambao walipoteza maisha kwenye mauaji ya kimbari ya mwaka 1994

Mamlaka nchini Rwanda imetangaza kufunga rasmi Mahakama za Kijadi za Gacaca zilizokuwa zinasikiliza mauaji ya kimbari ya mwaka 1994, Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imepata hofu ya kuibuka kwa mauaji na ubakaji nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yabayopangwa na Waasi wa M23, Machafuko yaendelea kushika kasi nchini Syria wakati huu ambapo rubani wakwanza akiasi, Mkutano wa Nchi Tajiri Kiviwanda Duniani maarufu kama G20 umemalizika huku Viongozi wa Ukanda wa Ulaya wakitakiwa kushughilikia mdororo wa uchumi na Ugiriki hatimaye imepata serikali mpya ambayo itakuwa na kibarua cha kushughilikia tatizo la uchumi kwenye nchi hiyo.