Habari RFI-Ki

Miaka 52 ya uhuru wa Congo DR

Sauti 09:57
Raisi wa jamuhuri ya demokrasia ya Congo,Joseph Kabila
Raisi wa jamuhuri ya demokrasia ya Congo,Joseph Kabila kiswahili.rfi.fr

Katika habari rafiki mtangazaji na wasikilizaji wanajikita katika maadhimisho ya 52 uhuru wa jamuhuri ya demokrasia ya Congo wakati huu ambapo bado kunashuhudiwa machafuko mashariki mwa nchi hiyo,kati ya majeshi ya serikali dhidi ya waasi wa M23.Karibu....