Siha Njema

Ugonjwa wa kipindupindu na madhara ambayo wanapata wananchi kwa kushindwa kusafisha maeneo yao

Sauti 09:26
Takataka ni chanzo cha kuibuka kwa kipindipindu kwenye maeneo mengi ya nchi za Afrika Mashariki
Takataka ni chanzo cha kuibuka kwa kipindipindu kwenye maeneo mengi ya nchi za Afrika Mashariki

Kipindupindu ni miongoni mwa magonjwa ambayo husababishwa na aina ya bakteria aitwaye Vibrio cholerae, Ugonjwa huu ni wa kuambukizwa kwa njia ya viini vinavyoenezwa kupitia kwa kinyesi kutoka kwa wagonjwa wenye Kipindupindu. Makala ya Siha Njema juma hili itangazia kwa kina juu ya maambukizi na njia ya kujikinga dhidi ya ugonjwa wa kipindipindu.