Mfahamu Msanii kutoka Nchini Burundi Issa Jamal Maharufu Yoya ambaye anafanya vizuri kwenye anga la muziki

Sauti 10:01
Mwanamuziki kutoka Nchini Burundi Issa Jamal Maharufu Yoya
Mwanamuziki kutoka Nchini Burundi Issa Jamal Maharufu Yoya

Makala ya Muziki Ijumaa juma hili yamepiga hodi nchini Burundi na kukutana na Msanii wa Muziki Issa Jamal Maharufu Yoya ambaye miongoni mwa masuala ambayo tumetaka kuyafahamu kutoka kwake ni pamoja na shughuli zake za msingi pamoja na vikwazo bila ya kusahamu mafanikio yake.