Uhuru wa Sudani

Sauti 12:32
Rais wa Sudani kusini Salva kiir
Rais wa Sudani kusini Salva kiir REUTERS/China Daily

Mjadala wa Wiki juma hili unaangazia uhuru wa Sudani kusini, Mjadala unaangazia hatua zilizopigwa na Sudani kusini halikadhalika Changamoto zinazokabili taifa hilo.