Ufungaji wa uzazi pasipo ridhaa ya mwanamke mara akutwapo na virusi vya ukimwi

Sauti 09:54

Habari rafiki inajikita katika suala la baadhi ya madaktari kubainika kuwafunga uzazi kwa lazima wanawake wenye maambukizi ya HIV nchini Kenya...masuala mbalimbali yanajitokeza kama haki za binadamu nk..fuatilia ujue wasikilizaji wanalipokeaje?