Jukwaa la Michezo

Kufuzu kwa Kombe la Mataifa Bingwa Barani Afrika

Sauti 20:30

Karibu katika makala ya Jukwaa la Michezo na tunaangazia michuano ya soka ya kufuzu fainali za kuwania kombe la mataifa bingwa barani Afrika ambayo inatarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwaka ujao nchini Afrika Kusini, na hii leo tunapiga kambi jijini Kampala nchini Uganda kuangazia mechi iliyopigwa kati ya wenyeji Uganda The Cranes na Chipolopolo ya Zambia. Kuna haya na mengineyo mengi, ungana naye Victor Abuso katika makala haya.