Habari RFI-Ki

M23

Sauti 10:05
Wapiganaji wa Kundi la M23 wanaotuhumiwa kusababisha  Machafuko mashariki mwa nchi hiyo
Wapiganaji wa Kundi la M23 wanaotuhumiwa kusababisha Machafuko mashariki mwa nchi hiyo REUTERS/James Akena

Makala ya Habari Rafiki leo hii inaangazia hatua ya wapiganaji waasi wa M23 wa mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kutangaza kubadili jina lake na kuitwa Congolese Revolutionary Army,.na kama wanavyodai kutaka kuikomboa Congo DR jambo ambalo wachambuzi wa siasa wanaona kuwa M23 wamebuni mbinu ya kujisafisha ili jamii iwaone wanania njema na taifa hilo wakati matendo yao yanapigiwa kelele kukiuka haki za binadamu..karibu usikie mitazamo ya wana Afrika Mashariki..