Mimba

Sauti 09:21
Wanafunzi wa Kike ni Miongoni mwa Waathiriwa wakubwa wa Mimba za utotoni wakati wakiendelea na Masomo
Wanafunzi wa Kike ni Miongoni mwa Waathiriwa wakubwa wa Mimba za utotoni wakati wakiendelea na Masomo

Makala ya habari Rafiki yanazungumzia hatua ya Bunge la Rwanda kupitisha Muswada wa Sheria kuruhusu hatua ya utoaji Mimba nchini humo, ikilenga Wanaobeba mimba wakiwa Wanafunzi, walio katika hatari ya kupoteza Maisha Raia wa Afrika Mashariki wameshiriki katika kutoa Mtazamo wao kuhusu hatua hiyo.