Congo
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:06
Makala ya Habari za Athari zilizojitokeza baada ya nchi ya Kidemokrasia ya Congo kutangaza kufunga Mpaka wake wa Kivu ya Kaskazini unaopakana na nchi ya Rwanda.Mpaka ambao umekuwa ukifungwa ifikapo saa kumi na mbili kamili na kuathiri shughuli mbalimbali za Wafanyabiashara, Wanafunzi na Wakazi wa nchi hizo.