Kemikali za Viwandani jinsi ambavyo zinachangia uharibifu wa mazingira Barani Afrika

Sauti 09:04
Mtayarishaji na Mtangazaji wa makala ya Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho.
Mtayarishaji na Mtangazaji wa makala ya Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho. © RFI Kiswahili.

Kemikali za Viwandani licha ya kutumika katika kutengeneza bidhaa mbalimbali lakini zimekuwa ni chanzo cha uchafuzi wa mazingira katika mataifa mengi ya Afrika na hivyo kuathiri binadamu kwenye shughuli zao na hata kudhuru afya za watu.