Usafiri wa Garimoshi waanza rasmi Jijini Dar Es Salaam kukabiliana na msongamano wa magari
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:17
Usafiri wa garimoshi wazinduliwa rasmi Jijini Dar Es Salaam lengo likiwa ni kukabiliana na msongamano wa magari uliokuwa kero katika Jiji ambapo wananchi wamepongeza serikali kwa kuweza kufanikiwa kuanzisha safari hizo ambazo zimekuwa zikichukua muda mfupi kutoka eneo moja kwenda eneo jingine.