Mashindano kwa wanafunzi kwenye masomo ya Sayansi na Teknolojia ili kuhamasisha wanafunzi kupenda masomo hayo

Sauti 09:29

Mashindano kwa wanafunzi wanaosoma masomo ya Sayanzi lengo likiwa ni kuwashawishi wanafunzi kupenda masomo hayo na kuondoa dhana ambayo ilikuwa awali ya kwamba masomo hayo ni magumu na yanasomwa na wanaume pekee na si wanawake.