Changamoto ambazo zinaikabili Jumuiya ya Ushirikiano kati ya nchi za Umoja wa Ulaya, Afrika, Carribean na Pacific ACP
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:34
Makala ya Gurudumu La Uchumi juma hili inaangazia mafanikio na changamoto ambazo zinaikabili Jumuiya ya Ushirikiano kati ya nchi za Umoja wa Ulaya, Afrika, Carribean na Pacific ACP. Katika kulitazama hili tutazungumza na Profesa Humfrey Moshi Mhadhiri na Mchambuzi wa Masuala ya Uchumi kutoka Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam.