Kiongozi wa Upinzani Nchini Rwanda Ingabire Umuhoza kukata rufaa kupinga adhabu ya miaka 8

Sauti 09:46
Kiongozi wa Upinzani nchini Rwanda Victoire Ingabire akiwa na Wakili wake Ian Edwards wakiwa Mahakamani
Kiongozi wa Upinzani nchini Rwanda Victoire Ingabire akiwa na Wakili wake Ian Edwards wakiwa Mahakamani AFP PHOTO/Steve Terrill

Makala ya Habari Rafiki inatoa fursa kwa wasikilizaji kueleza mitazamo yao juu ya hukumu ya kifungo cha miaka 8 jela iliyotolewa dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Rwanda Victoire Ingabire Umuhoza ambaye alikutwa na hatia ya kutenda kosa la uhaini, huku Wakili wake Ian Edwards akisema watakata rufaa kupinga adhabu aliyopewa mteja wake.