Siku ya Kimataifa ya Chakula na Usalama wa Lishe barani Afrika na uwepo wa janga na njaa
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:19
Habari Rafiki inaangazia masuala mbalimbali yanayoibuka wakati wa Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya chakula na usalama wa lishe Barani Afrika, ikiwemo mbinu za mataifa ya Afrika kupambana na janga la njaa.Wasikilizaji wanatoa mitazamo yao juu ya uelewa wao katika masuala mazima ya usalama wa chakula na lishe.