Mfahamu kwa undani Mwamuziki Ismael Lo ambaye ni raia wa Senegal
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 10:00
Mwanamuziki Ismael Lo ni raia wa Senegal ambaye alizaliwa Niger na amekuwa akifanya muziki tangu miaka ya 70 huku akiwa mtaalam zaidi wa kutumia zana za muziki ikiwemo gitaa na hamonika.