Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Ugunduzi wa teknolojia mpya ya magari yatumiayo umeme utakavyosaidia kutunza mazingira

Sauti 09:34

Ugunduzi wa teknolojia mpya ya magari kutumia umeme ambayo ni rafiki wa mazingira kwa kiasi kikubwa itasaida katika suala la utuzaji wa Mazingira, Makala ya mazingira leo Dunia yako kesho juma hili itajikita kuangazia juu ya mchango wa magari haya katika kutunza mazingir, Je teknolojia hii itaweza kusaidia kupunguza uchafuzi wa hewa utokanao na magari yanayotoa moshi katika nchi za Afrika mashariki na kati?