Usafiri wa gari moshi jijini Dar es Salaam
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:54
Katika makala haya tunaangazia juma moja baada ya kuzinduliwa kwa usafiri wa gari moshi jijini Dar es Salaam kwa lengo la kupunguza adha ya usafiri, fuatana na Sabina Chrispine Nabigambo ufahamu mengi, karibu.