Habari RFI-Ki

Afrika mashariki imejifunza nini kutokana na uchaguzi wa Marekani?

Sauti 10:07

Makala ya habari rafiki hii leo inajikita katika harakati za mwisho za uchaguzi wa raisi nchini Marekani,ambapo wasikilizaji kote duniani wanafuatilia uchaguzi huo na sasa wanaangazia ni mambo yapi Afrika mashariki inajifunza kwa kulinganisha chaguzi za mataifa ya Afrika na ule wa Marekani.