Gurudumu la Uchumi

Fahamu ripoti ya benk ya dunia ya tarehe 1 Novemba kuhusu kukua kwa uchumi wa Tanzania

Sauti 09:57

Makala ya gurudumu la uchumi inaangazia ripoti ya benk ya dunia ya tarehe 1 mwezi huu ikionesha uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 6 mpaka 7 na kuonya pasitokee mabadiliko ya mfumuko wa bei lakini bado changamoto ni nyingi kwa upande wa wanachi...