Habari RFI-Ki

Tuhuma kwa baadhi ya mataifa ya Afrika kutumia vibaya fedha za misaada ikiwemo Uganda..

Sauti 10:01

Wasikilizaji wanapaza sauti zao kufuatia tuhuma zilizotolewa na mataifa wahisani wa Ulaya dhidi ya baadhi ya mataifa ya Afrika mashariki ikiwemo Uganda kutumia vibaya fedha za misaada zinazotolewa kwa ajili ya maendeleo....