Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Fahamu Hifadhi endelevu za mazingira Afrika mashariki na kati

Sauti 09:44

Tatizo la uchafuzi wa mazingira linasumbua serikali katika harakati za kutunza mazingira.Leo makala inaangazia juu ya hifadhi endelevu ya mazingira katika nchi za Afrika mashariki na kati..karibu!