Kunyanyaswa kwa waandishi wa habari Mashariki mwa DRC

Sauti 09:54

Karibu katika makala ya habari rafiki leo tunatazama ripoti ya umoja wa mataifa inayoshutumu waasi wa M23 kuwanyanyasa waandishi wa habari huko Mashariki mwa DRC. Ruben Kakule Lukumbuka anakufahamisha mengi.