Habari RFI-Ki

Siku ya UKIMWI duniani

Sauti 09:58

Makala ya Habari Rafiki hii leo inaangazia maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ambayo hufanyika kila tarehe mozi ya mwezi wa kumi na mbili, kupata mengi zaidi fuatilia makala hii ukiwa naye Flora Mwano.