Jukwaa la Michezo

Mechi zilizopigwa katika maadhimisho ya miaka 25 ya chama tawala nchini Rwanda, Tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika na Kujiuzulu kwa kocha wa Harambee Stars ya Kenya

Sauti 20:13

Karibu katika makala ya Jukwaa la Michezo ambapo hii leo tunaangazia mambo makuu matatu ambayo ni mechi mbambali za vilabu vya soka zilizopigwa nchini Rwanda katika maadhimisho ya miaka ishirini na tano ya chama tawala nchini humo cha RPF, pia tuaangazia tuzo ya Mwanasoka bora wa mwaka barani Afrika ambayo imetwaliwa tena na mchezaji wa Cote d'Ivoire Yaya Toure kwa miaka miwili mfululizo, na mwisho tutaangazia kujiuzulu kwa Kocha Mkuu wa Harambee Stars ya Kenya. Kwa mengi zaidi ungana naye Victor Abuso katika makala haya.