Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC laweka vikwazo kwa Viongozi wa Kundi la Waasi la M23

Sauti 13:29
Kiongozi wa Kisiasa wa Kundi la Waasi la M23 Jean-Marie Runiga Lugerero ambaye amewekewa vikwazo na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC
Kiongozi wa Kisiasa wa Kundi la Waasi la M23 Jean-Marie Runiga Lugerero ambaye amewekewa vikwazo na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC REUTERS/James Akena

Viongozi wa wawili wa Kundi la Waasi la M23 la Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC Jean-Marie Runiga Lugerero na Luteni Kanali Eric Badege kutokana na Kundi lao kushiriki kwenye ubakaji na uhalifu dhidi ya binadamu kwenye maeneo ambayo wanayashikilia ikiwemo Goma. Baraza la Usalama pia limetangaza kuzuia mali za Kundi la Waas la M23!!