Tatizo la ukosefu wa ajira limeendelea kuwa kitendawili kilichokosa jibu katika mataifa mengi

Sauti 09:04

Makala ya Gurudumu la Uchumi yanaangazia tatizo la uchumi ambalo linaonekana kugonga vichwa vya Viongozi wengi katika mwaka uliopita lakini hakukuwa na suluhu muafaka ambayo ilipatikana katika kutatua suala hilo kitu ambacho kimechangia hata kuyumba kwa uchumi wa baadhi ya nchi!!