Mwelekeo wa muziki wa Injili nchini Tanzania

Sauti 19:22

Nakutakia heri ya mwaka mpya na kukaribisha katika makala ya kwanza ya Nyumba ya Sanaa kwa mwaka huu wa 2013, hii leo utapata kusikia mengi kuhusiana na mwelekeo wa muziki wa Injili tukizungumza naye Gabriel Kish Mwanamuziki na Muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam nchini Tanzania. Kwa mengi zaidi ungana na Edmond Lwangi Tcheli, karibu.