mapigano
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:42
Makala haya yanazungumzia juu ya hali ya usalama nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo,hususan, Mashariki mwa nchi hiyo, ambapo vifo vimeendelea kuripotiwa wakati huu ambapo Waasi wa M23 na Serikali ya Congo wako jijini Kampala nchini Uganda katika harakati za kuleta makubaliano ya amani nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.