Jeshi la Mali laingia lawamani kwa kusababisha vifo Kaskazini mwa Taifa hilo huku Uingereza ikitishia kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya EU

Sauti 20:55
Ndege ya Kijeshi ya Marekani ikiwa Bamako kushusha vifaa kwa ajili ya kuendelea na operesheni ya kukabiliana na Makundi ya Kiislam
Ndege ya Kijeshi ya Marekani ikiwa Bamako kushusha vifaa kwa ajili ya kuendelea na operesheni ya kukabiliana na Makundi ya Kiislam REUTERS/Eric Gaillard

Jeshi la Mali limeingia kwenye lawama ya kusababisha vifo kwa wananchi wake kipindi hiki wanachoendelea kupambana na Makundi ya Kiislam wakisaidiwa na Vikosi vya Ufaransa, Mazungumzo ya kusaka amani ya kudumu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC yaendelea kukosa mwelekeo huko nchini Uganda na Uingereza yatishia kujionda kwenye Umoja wa Ulaya EU huku Waziri Mkuu David Cameron akiahidi kuitisha kura ya maoni akishinda uchaguzi kuamua hatima ya uanachama wa Taifa hilo.