Jitihada za kusaka suluhu ya machafuko yanayotikisa eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 12:06
Mikutano mbalimbali imeendelea kufanyika kwa lengo la kusaka amani ya kudumu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC lakini Viongozi kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC walitia ngumu kuafikiana na mapendekezo ya Umoja wa Mataifa UN. Hatua iliyo ilichangiwa kutokana na Viongozi wa SADC kutokubaliana na mapendekezo hayo kwa kuwa wao na mkakati wao unaoendelea!!