Muziki Ijumaa
Makala ya Muziki Ijumaa inamwangaza Mwanamuziki David Lynden Hall
Imechapishwa:
Cheza - 09:26
Makala ya Muziki Ijumaa juma hili inamzungumzia mwanamuziki, marehemu, Lynden David Hall, mwanamuziki wa miondoko ya RnB na Soul kutoka nchini Uingereza.