Nyumba ya Sanaa
Mahojiano maalumu na mwanamziki mkongwe wa nchini Tanzania Zahir Ally Zoro
Imechapishwa:
Cheza - 19:55
Karibu katika makala ya Nyumba ya Sanaa ambapo hii leo utapata kusikia mahojiano maalum na mwanamziki mkongwe wa nchini Tanzania Zahir Ally Zoro ambaye amekuwa mfano wa kuigwa katika tasnia hiyo. Utasikia mengi ikiwa ni pamoja na safari yake ya muziki anayoendelea nayo mpaka hivi sasa, karibu sana.