Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mashambulizi ya Majeshi ya Ufaransa yasaidia kuwafurusha Wapiganaji wa Makundi ya Kiislam kipindi hiki ambacho IEBC ikifanya uhakiki wa Wagombea wa Urais nchini Kenya
Imechapishwa:
Cheza - 21:46
Ndege za Kivita za Ufaransa zimeendelea na mashambulizi yake katika eneo la Kaskazini mwa Mali na kufanikiwa kukomboa Miji mitatu ya Gao, Timbuktu na Kidal, Siasa nchini Kenya zaendelea kupamba moto huku Tume Huru ya Uchaguzi na Ukaguzi wa Mipaka IEBC ikifanya uhakiki wa wagombea wa urais na manaibu marais, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi wa kile ambacho kinaendelea kwenye sakata la gesi na Serikali ya Marekani imeendelea kukosoa harakati za kumaliza umwagaji wa damu uliodumu kwa miezi ishirini na miwili nchini Syria bila kupata suluhu!!