Changu Chako, Chako Changu

Thamani ya utamaduni wa Kiafrika

Sauti 19:56

Karibu katika makala haya ya Changu Chako, Chako Changu ambapo hii leo tunaangazia dhana ya weusi hususani katika kipengele cha kuthamini utamaduni wa Kiafrika. Ungana naye Karume Asangama na Iliminata Rwelamira upate kufahamu mengi zaidi kuhusiana na mada hii.