Jukwaa la Michezo

Mwendelezo wa uchambuzi kuhusiana na michuano ya AFCON inayoendelea nchini Afrika Kusini

Sauti 20:52

Ni matumaini yangu una hamu ya kujua kile kinachoendelea kujiri katika michuano ya soka ya kuwania ubingwa wa kombe la mataifa ya Afrika AFCON inayoendelea kutimua vumbi huko nchini Afrika Kusini, utapata kusikia mambo mengi zaidi hii leo hasa ikizingatiwa kuwa michuano hiyo sasa inatinga katika hatua ya robo fainali.Karibu sana na ungana na Mtayarishaji na Mtangazaji wa makala haya Victor Abuso.